Mbwana Ally Samatta leo kama atafanikiwa kupangwa katika kikosi cha kwanza cha timu yake ya KRC Genk ya Ubeligiji kinachotazamiwa kupambana na timu ya SK Rapid Wien leo mnamo saa 1 kamili usiku ataweka rekodi ya kuwa ni mchezaji pekee kutoka nchini Tanzania aliyewahi kucheza katika mashindano hayo ambayo ni ya pili kwa ukubwa barani Ulaya. Na Mwandishi.
Pichani Mbwana Samatta akicheza kwenye Ligi ya Ubeligiji