Hali ya kivuko katika mto Kilomberounaotenganisha Wilaya ya Ifakara na Ulanga mkoani Morogoro kinahitaji maboresho kutokana na ukweli kwamba kipindi cha mvua maj hujaa mtoni na kusababisha ugumu kwa abilia wanaopanda kivuko hicho. Serikali inabidi kutupia jicho kivuko hicho kwani ndicho kinachounganisha kati ya Wilaya hizo mbili.
Kivuko cha mto Kilombero
Picha inaonesha hali halisi ya kivuko maji yakuwa yamejaa ndani ya kivuko
Hapa si kwamba wanavuka mfereji wa maji bali ni abilia wakipanda kivukoni