Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, November 27, 2012

SHARO MILIONEA AFARIKI KWA AJALI YA GALI

Mwigizaji wa maigizo ya vichekesho "comedian" na mwanamziki wa bongo fleva Hussein Mkiate maarufu kwa jina la Sharo Milionea jana alifariki kwa ajali ua gari iliyotokea maeneo ya mheza mkoani Tanga.

Sunday, November 25, 2012

CRDB BANK FAMILY DAY 2012 YAFANA

Familia ya CRDB Bank leo katika viwanja vya kunduchi wamesheherekea siku ya familia iliyojumuisha wafanyakazi na wadau wa CRDB Bank.

Wednesday, November 21, 2012

SABA ZAINGIA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Timu saba leo usiku zimefanikiwa kuingia katika hatua ya 16 bora itakayoendeshwa kwa njia ya mtoano baada ya kuwashinda wapinzani wao huku kukiwa kumebakia mechi moja ya makundi kumaliza hatua hiyo katika ligi ya mabingwa wa Ulaya.

Tuesday, November 20, 2012

BECKHAM KUACHANA NA LA GALAXY MWISHO WA MSIMU

Mwanandinga David Bekham ametangaza nia yake ya kuachana na timu ya LA Galaxy ifikapo mwisho wa msimu huu wa wa Ligi kuu ya Marekani MLS 2011/2012. Bekham amesema mchezo wa fainali wa kombe la MLS League Cup ndio utakuwa mchezo wake wa mwisho kuonekana akiwa amevalia jezi nyeupe zenye michirizi ya bluu za timu yake ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya nchini Marekani. Hata hivyo Bekham amesisitiza kuwa pamoja na kuachana na timu yake ya LA Galaxy bado haujafikia wakati wa yeye kustaafu soka na hivyo bado ataendelea kusakata kandanda. Habari na mtandao wa ESPN.

Saturday, November 10, 2012

EPIC BONGO STAR SEARCH FINALE LIVE!

Mashindano ya kutafuta mwimbaji chipukizi mwenye kipaji atakayejinyakulia kitita cha shilingi milioni 50 Epic Bongo Star Seach yanaendelea katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar-es-Salaam.






Wednesday, November 7, 2012

NI OBAMA TENA MAREKANI

Wananchi wa Marekani usiku wa kuamkia jana kwa mara nyingine walimchagua rais Barack Obama kuendelea kuwaonhoza katika kipindi kingine cha miaka minne ijayo. Katika kinyang'anyiro hicho cha uchaguzi rais Obama alimuangusha mpinzani wake Romney kwa kura za majimbo