Maandalizi ya Mkutano wa Afrika Development Bank unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 31-1 June katika kumbi za AICC Arusha yamekamilika kwa asilimia zaidi ya 95.
Ukumbi wa Piazza ukiwa tayari kwa mkutano.
Jukwaa likifungwa katika mija ya kumbi za Nguludoto kwa ajili ya Galla Dinner