Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Monday, February 18, 2013

MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE 2012\2013 YATANGAZWA

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi leo imetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2012\2013 uliofanyika mwaka jana. Blog hii inafanya jitihada za kuapload matokeo hayo ili yaweze kusomwa na kila mtu kwa urahisi. Kwa sasa pata matokeo kupitia website ya NECTA kwa kufata link hii http://www.necta.go.tz/results.html

TAARIFA YA POLISI KUHUSU MAUAJI YA PADRE WA KANISA KATORIKI ZANZIBAR

Padre wa kanisa la Katoliki la Mt. Joseph lililoko Unguja Zanzibar aliyeuwawa na watu wasiojulikana kwa kupigwa risasi kichwani



Thursday, February 7, 2013

TAIFA STARS 1 - 0 CAMEROON

Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" jana ilifanya maajabu kwa kuifunga timu ya taifa ya Cameroon  mabao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa taifa mjini Dar-es-Salaam, Tanzania.
Goli la Tanzania lilifungwa na mshambuliaji wake anayecheza soka la kulipwa katika timu ya TP Mazembe ya  nchini DRC Congo katika dakika ya 88 ya mchezo kutokana na krosi iliyopigwa na beki Erasto Nyoni.

Mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta akifunga goli