Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, March 1, 2011

Hotuba ya Rais.......

CHADEMA WANATISHA 
Hotuba ya mwisho wa mwezi ya Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa Wananchi

Baadhi ya mambo muhimu aliyoyaongelea Rais katika hotuba ya mwezi huu ni
  • Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto-Uchunguzi unaendelea kwa kushirikisha wataalamu wa nje.
  • Hali ya Chakula nchini-Upungufu wowote wa chakula utadhibitiwa
  • Bei ya sukari-itadhibitiwa ambapo kilo moja itauzwa Tshs/=1,700 na sio zaidi ya hapo kuanzia mwezi May.Kwa sasa,serikali imetoa kibali ili kuagizwa kwa sukari kutoka nje.Haitotozwa ushuru wa forodha ili iweze kuuzwa kwa bei nzuri.
  • Hali  ya Umeme-Mambo Bado
  • Hali ya usalama wa nchi-Aelekeza lawama kwa CHADEMA; Kauli zao,maandamano yao yanachochea ghasia,machafuko.Atoa “shule” kwa viongozi wa CHADEMA juu ya nini cha kufanya baada ya Uchaguzi.Asema CHADEMA wanataka kuipeleka nchi pabaya kwa uchu wao wa madaraka.

No comments:

Post a Comment